
Photography si tu kufinya finya camera shutter buana. Kuna art in framing, understanding light, na even timing ya moment. Kaa uko na foundation ya strong technical skills, unaweza ata jaribu breaking rules na ku-create images zenye ziko out-of-this-world. Wewe hua unafocus kwa style gani ya photography, na imekusaidia aje ku-improve kazi yako?

0
0
0