
Photoshoots hukua na challenges mob especially kama wewe ni boychild. Ladies hupenda kumanipulate boychilds sana, wewe unajua uko wera lakini unapigwa kiswahili na girlchild unamfanyia at a lower rate, ama saa zingine unafanya on credit ama ata anakosa kulipa. Niko na mabeshte kadhaa facing such a challenge. Unajua ukimkalia ngumu ataenda to the next person na wewe hutaki kulose client buana. Shaka. Mnaeza advice aje these friends of mine?

0
0
0