
Physics practical ndio ilikuwa last paper, 24/11. Ma candidate wako nje saa hizi. This is the best time ya kubonga story za courses and how to determine the right career.
Embarking on a career journey inaeza kuwa a thrilling yet challenging endeavor. Whether wewe ni recent graduate, contemplating a career change ama simply seeking more fulfilling path, the process ya kuget the right career ina require thoughtful consideration na exploration.
Attending certain seminar nilijifunza hii guide yenye ina provide practical steps za kukusaidia ku navigate the intricate landscape and discover a path yenye ina align na your unique strengths, interest na inspiration.
š Ya kwanza kabisa ni reflect on your passion na values. Take time ku reflect on zile activities na subjects zenye u-genuinely ignite your passion then sasa unazi align na carrier yako. Incase uko na challenge na hii, fanya personality test. Yenye I find very helpful sana ni ya Myers-Briggs, ukuwa free and inakupea great self assignment, link ndio hii hapa https://shorturl.at/mszDU
š Fanya in-depth research ya careers zenye zina align na interest na skills. Check kwa industries, job description na required qualifications. Unaeza pia bonga na professional kwa hizo fields through networking hadi hapa mesh, kugain insights. Usisahau ku-consider the job market na future trends kwa different industries.
š Kuna pia story ya ku-consider work-life and kumake sure zina balance, make sure una understand demands na expectation za particular career ndio zikuwe zinaweza align na your professional goals na personal life.
š Utilize networking na mentorship, kumekuwa na several mentorship hapa mesh za carrier, kuwa on the lookout and attend them, pia unaweza build a professional network by attending industry events like the famous Nairobi International Education Far, happening 08-22 Feb 2024. Also, unaeza connect na professional kwa platform zingine kama LinkedIn na u-seek guidance from mentors wenye wana share valuable insights na advice based on their own experience.
......TO BE CONTINUED. Written by @[Kivaya Josiah]
