
Please saidieni a friend mwenye anadai ku-venture kwa AirBnB biz but ako na haya maswali.
-
Wenye nyumba zenye mna host Airbnb what kind of agreement ukuwa in place?
-
Is closing sales kwa AirBnB easy ama itabidi kutegemea external platform kama social media for marketing?
-
Story ya currency fluctuation, hii nayo mnadeal aje considering the Shillings imekuwa ina fluctuate against the dollar

0
0
0