
POLITICS NA BIZ
Sote ukuwa inclined kwa one political party ama kadhaa. Na politics iko na spice yenye uleta kwa ice breaking talks na client. Kuna hadi wenye utumia kama way ya ku sale ama ku create networks. Then kuna wale like us, team cyber, tunatengeza doo from it. Kuprint posters, Tsho, onlince presence etc. So approach yako kwa biz ni gani, kwa nini and ina work? Tujengane, tuchanuane.
My approach imekuwa ile kusikiza client and nisikie ile side yeye yuko then na side na yeye. Sikuwi na hard stand so na throw light jabs ama kakejeli kiasi kwa preferred candidate wake in a humorous way yenye haileti hard feelings while sasa diverting back to biz then time ana ondoka nampea psych kuwa candidate wake stands the chance ya kuwin.
In terms ya biz identity na try as much as possible kuremain neutral and pia ku avoid direct way biz yangu inaeza kuwa linked na certain politics. Juu nimecheck boy flani wasee wali target biz yake with talks aliget funds za politics and aka invest kwa biz yake.
Opinion yako ni gani? Share ndio kama kawa #Tujijenge