
POST COVID LESSONS.
BIZ LESSON Haijakuwa easy. Haijakuwa normal. Imekuwa long biz experience yenye imeleta so many changes. Some services nilikuwa na offer zimekuwa rendered void. Wasee tuko kwa cyber biz am sure wanarelate sana na effects zenye covid ilileta kwa hustle zetu. But through it all, kuna zile major biz lesson tumelearn. ^ Kwangu importance ya regularly keeping contact na clients ilikuja in handy. ^ Kukuwa na ka saving was another lesson. ^ Good relationship na lender wa biz pia. ^ Ku diversy source of income was like ile major. ^ Kublend and ku adjust through biz crisis ^ Ku venture outisde comfort zones ^ Halafu pia story za kukuwa na insurance cover kwa biz
LIFE LESSON Same way kuna zile life lesson hii crisis ilitufunza. Kwangu nilijifunza: ^ Importance ya true friends kwa life. Hii time ndio nilicheck vile DJ Boyie alijali not only mimi but pia family yangu through #LindaFam programs ^ Pia nilijifunza Importance ya Family, na role hii institution u saidia kwa life, juu kuna time hadi all I had in mind ni vile family itakuwa safe through hii pandemic. ^ Pia nilijifunza, Daro is an endless progress and anytime unaeza back shule ukaendelea ku gain knwoledge.
Imekuwa a journey, but through it all na appreciate sana family, friends, clients DB Boyie na familia yote ya Shujaaz, juu through wao most of this lesson nilicome kuzi value sana. #Tujijenge #LindaFam #ShujaazTalk.