
POST COVID LESSONS IN LIFE AND HUSTLE.
Covid 19 came with alot of challenges from gigz kukata to business kucollapse. Over the past two years imekua a hectic time especially for yutman. Binafsi nimejifunza alot ikifika mambo na kurun hustle, nimelearn skills kadhaa from the challenges like the saving culture in business because you never know kile itafanyika anytime. Pale kwa community tumejifunza hii time ya Corona the importance ya kupractise healthy living na tumehold dearly kuvalue our health because our health is our wealth.
Tumethank wazito na MESH Community mzima for coming through this difficult time na kuchose kuchanuana kutoa support again and again. Thumbs up! TWENTY TWENTY TWO Tunabounce back tukiendelea kujengana support huku tukiinua hustles zetu.