
Post ya Daniel raises swali fiti;
Time mifugo wako, wako unwell, first step yako ukuwa gani?
- Google symptoms na cure online?
- Tafuta local veterinary afanye diagnosis?
- Get advice kutoka kwa fellow wakulima
- Cheza kama wewe by trying out traditionally methods
- Others (Tuchanue kwa comment section)

0
0
0