POST-HARVEST LOSSES
Msimu wa maembe, ilikuja na inaisha...wakulima wengi wanakadiria hasara waliopata ni mkubwa mno.
Maembe mengi yaliharibika kabla ya kumfikia mnunuzi. Hata ukiwa sokoni, marundo ya takataka yamejaa maembe yaliooza.
Wakulima, how can we turn large harvests into well-preserved food that can feed us years into the future?
Share na sisi hapo kwa comment section ⬇️⬇️⬇️
0
0
0