
Poultry Farmers, najua mayai Huwa inatuokolea sababu tunapata Kila siku unaweza kununia chakula ya kuku ama yako mwenyewe, lakini wakati wa baridi ukifika, maneno yanabadilika kiasi. Unapata kuku hawatagi unavyotarajia. Buy do you know the reason why they don't lay as expected in the cold season? Check the poster below for more info. We keep going despite the challenges. Naturing Quality, Naturally #osotuafarm #smartfarm #poultryfarm

0
0
0