
Poultry farming
After highschool ilikua hard na ka boy manze lazma tuu kuna venye ningesaka ganji in legal ways. Home nilikua na kuku nne za kienyezi na nilikua nimesikia severally that a chicken can hatch continously 3 times. Mimi ni nani. Siku zikiendelea kusonga around january hapo feb ikafika time ya kuku kulalia mayai. Nikaeka mayai 15 and nikamake sure time inatoka kuenda kukula imedish poa. After 21 days ikaagua 13 chicks. Imediately nikaswap nikaeka mayai zingine 15 got to sell the chicks @ 100 kwa mwalimu wa a neighbouring high school. Hio time nilikua tajiri 1000 clean yenye sijatolea jasho sana akili kiasi alafu saa 300 ikabidi nimepea mathe juu pia joh singemuacha hivo. Soo the next hatch ikaagua 15 and I was like this is now a deal. Tena nikaswap but namake sure kuku imekula fiti juu isipo itakufa. So the third time ndio nikaiachilia itembeze vifaranga 12 zenye ilikua imeagua from the 15 eggs. Since kuku zilikua nne hio ndio ilikua biz bora nimetafuta mayai fertile na client wangu huyo mwalimu akaiform wenzake I supply chicks. After some time ndio nikabuy incubator but now I had to move to the city ikabidi mathe a run biz. Though pia watu waligundua hio ujanja soo competion kiasi but hio 1000 ya kwanza wacha tuu. Sema tajiri #MyFirst1K