
Pre-Covid biz ya cyber ilikuwa ina do tu poa. Then, Rona happened and story za social distance, lock down, several precautionary from both local and national government zika hit biz yetu mbaya. Hapo ndio sasa mimi nili try hii story ya wifi / network distribution hapa Emali. Niliget several clients and pia wale wa daily usage since wasee wengi walikuwa indoors & working from home. Hii ndio biz iliniweka a float hio time. And since hii ni like one time investment nimejipata nimepea so much attention kwa hii new gig hadi saa hizi. As much as Rona ilikuja na challanges kadhaa pia imeleta maujanja mpya ya how to stay a float.
#Tujijenge
0
0
0