
Pressure iko kila mahali left right centre.valentine day siku ya wapendanao😜this year make it different gift ur brother,ur sister or a friend pia show love every where..
Wewe kama mwana biashara umetumia hio opportunity aje ?
If you missing these items kwa shop yako just know utalose pesa mingi buana. Valentine's watu wanataka kubuyiana small small gifts, like belts, rings, flowers, hoodies, ni nini yunno, its the month of love pia unaeza uza gift bags na wraps, stock up these items!
Add it up ata kama utataste the market na products tano
Risking is part of business 😇


0
0
0