Pressure ya kutoka block inamaliza vijanaa huku nje buana, heri upige mboka yako upate ganji badala ya kuendea easy money.