
PRICE RANGES (BULK SALES/EXP SALES)
Wewe u determine selling price aje? Je wewe u target low but bulky sales ama sales kiasi but good returns? Well kuna biz flani mimi ufanyaga ya distribution, nika partnership na beste yangu. Sisi operations yetu tumekuwa na bigger profit less sales.
Hii biz tumeichapa last 6 years or so. Though Mimi ukuwa ile design part time. With this model ya operations imetufanya kuifanya that long. Kuna competitors wao ukuja na bulky sales targets. Hii u create challenge sometimes kwa clients wetu but the good thing hao competitor wao uondokea hio biz after few sales juu ku sustain hio model ukuwa na challenge ya kutoweza pay bills the third or after. The first day ukuwa promising kwao but after hapo ukuwa haiwezi make business sense so wanaondokea.
Yes, kuna biz bulky sales ukuwa na advantages most. Ebu nichapie hapa kwa comments mode yako ni ipi, and why did you opt for it.
#Biz101 #ShujaazBiz #YoutNaBiz