
Price ya "KNITTING MACHINE" ni how much.
Hapa kuna price range ya hii machine from 620ksh to 800ksh.
Najua sahi ni season ya baridi and people mostly wanadai Socks, Sweaters and even Warm blankets.
Sahi hakuna time ya kufua blankets, So take advantage add some creativity and najua hiii December itakua umekafunga. 💯

0
0
0