
Price ya kuchukua stock imeenda juu coz ya transport ya ku ziendea, then uko try ku adjust price ndio atleast una recover kiac, unapata customer haelewi tena kuna vitu zingine huezi uka sell higher labda ureduce quantity kiac. Most times unajipata uko na loss.
0
0
0