
#pricing,first of all vitu najua tunabuy na wholesale,kitu kama kitabu unauza depending na pages,kama 32 pages huwa tunabuy na 15 bob inategemea wewe mwenyewe vile umebuy,and then ukitaka price yako iwe sawa tafuta wholesalers wa Kila kitu,then uwe na neighbors wale wanauza vitu kama wewe ujifunze ujue wnauza aje vitu zao,then you will know how to hundle your goods,halafu pia inadepend place umewekea business yako,huwezi weka shop runda uuze sukari 100 na uweke githogoro uuze same price
0
0
0