
Pricing ni key kwa biz yoyote,kwa beshte yangu Hassan kuweka #bei ya bidhaa zako isikupee worry Meshers wakiwa hapa,,, 1.Consider #products unauza for example kama ni soda ya 2L let's say ulibuy @ 600 per dozen itabidi atleast from kila chupa uget profit na pia isikuwe higher than customers can #afford. 2.Consider #seasons, let's say unauza vitabu ukitaka kuwa mjanja,ile time shule zimetingwa stock hizo books at a cheaper price na wewe shule zikifunguliwa #sell at a profit margin ya like Five bob per book. 3.Compare market around,,inafaa sometimes uingie field ufanye research kujua wasee wengine wanauza @how much zile bidhaa wewe huuza pia,,hio itakupea overview ya kuweka price kwa products zako. 4.Consider buying price,ile time unaendea products zako kwa wholesale keep hizo records ndio zikusaidie kujua utauza at a loss ama profit ama ile bei product iliingia nayo. 5.Pia ni fty kuweka records,,hii itakusaidia kujua vile tuseme kwa mfano soda ya 300ml imekuwa ikisonga ama imekuwa deadstock,hapo itakupea easy time ya kuprice products kama hizo. 5.Chukua feedback kutoka kwa customers,hii ni method moja unique sana yenye itakusaidia kujua customers hubuy similar products na bei gani kule kwingine na hapo utakuwa na easy time ya kuadjust bei zako. 6.Angalia demand pia,,,kama vitabu za A4 haziendi sana unaweza weka affordable price na uongezee price kwa zile za A5 kucover up ile bob utakuwa umepoteza pale kwa A4 7.Quality ya zile vitu unauza kama iko juu bei pia itabidi iwe juu na kama ni standard bei zako pia weka ziwe standard,,, all the best Hassan kwa biz yako💪💪💪💪