
Pricing Your Work
Hii topic ni tricky kwa creatives, pricing! How do you know your worth?
☑️💹Jua Soko Yako: Fanya research kwa industry yako, jua competitors wako wanacharge aje for similar work.
☑️💹Consider Time and Effort: Time na effort umeweka kwa kazi lazima zi-reflect kwa price. Don’t undersell yourself.
☑️💹Value Experience: Kama umefanya hii kazi for a while, hiyo experience yako ni valuable. Charge according to your expertise.
☑️💹Be Open to Negotiation: Kumbuka, negotiation ni part ya biashara. Have a range in mind, usikubali kutoa offer yako ya kwanza bila ku-discuss.
☑️💹Deliver Quality: Hii ndio reason ya price yako, lazima ilete value. When you deliver, clients wako watakuja tena

0
0
0