#Product #Differentiation! Nime-notice mtaani kuna butchery mbili. Moja huwa imejaa customers wanamaliza stock mapema na ingine huwa wana-struggle sana kumaliza stock. Unadhani difference inaeza kuwa ni nini?
0