
PROSPECTING Kwa hii field ya sales ni lazima Tu uingie field ama uongee na customers about your products bila hio itakua ngumu Sana kuuza . I have a prospect book and I note down customers wenye wamepromise kununua na day wamepromise . On that day I call them one by one to remind them and this has really increased my sales. Like the below pic nilikua nimeenda mashinani kutafta wateja and on that day I got 3 customers.

0
0
0