
Proud Mesher hapa!!Big up @[Rowland Bandie].#Form ni kujengana "Vipi vipi wakuu,,,hope wiki imekua poa sana,,, Today being a Sunday I want to applause This platform....manzee hakunaa platform kubwaa sai kama Mesh. My main reason why I'm strongly believing in mesh is kuna hii group ya performing arts where i read about an article,it was about Casting auditions posted by Fredrick....manyasi I think yeye ni host wa hio group.... Nilieendaa hio auditions na nikakuaa selected kwa Group flani inaitwaa Uptown Production. I'm very happy because kama sio mesh haingekuaa rahisi Sunday."
0
0
0