
PUT MONEY INTO YOUR PROJECT: GETTING A SMALL BUSINESS LOAN.
Small business Loan Tunaweza I define kiaje ? A small business loan is a financing option yenye entrepreneurs wenye wanadai ku start ama ku grow business zao. It is a type of loan that can be used to fund your business objectives without losing equity or stake in your company.
Hapa kuna Chris ana own a jewelry store inaitwa “Chris Jewelry Store”, Business yake imekua ikirun fiti sana, alikua na another thought ya kufungua store ingine since demand imekua kwa wingi sana kwa products zake. Chris amesave pesa kiaci na amecreate business plan yake, still anajua ata need pesa ingine ndo a manage kufungua hiyo store ingine. Chris hana any strong connection, Anataka to ku open another store. So whats the best way ya Chris kupata funding ? the best place kuenda itakua From a bank yenye iko familiar na needs za smalls businesses.
So Chris ile kitu ya maana ata fanya ni: Kuprepare as much as possible before kuenda kuchukua hiyo loan, so that utapea Lender easy time yaku understand your business goals and plans. Ndo pia again confidence unaweza repay hiyo loan.
So Chris kitu atafanya ni kujiuliza hizi maswali before kuendea loan:
- How itatake yeye kurepay hiyo loan.
- Ni nini hiyo ataprovide kama guarantee.
- Revenue yenye loan ita generate.
- The amount of funding yenye business itaneed.
- The reasons zenye Chris anadai for a small business loan.
Remember ukimeet na Lender yeye huuliza maswali mingi sana about Bizna yako.
