Quick Friday tip, Meshers. š
Na leo ni month-end. š
Before uanze weekend, jipe 30 minutes.
ā Reconcile M-PESA na bank.
ā Save receipts, invoices na supplier bills.
ā Check kama sales zako zinaagree na records.
ā Jua nani anakudai, na nani unamdai.
ā Angalia cash yako... inaagree na reality? š
Hizi 30 minutes zinaweza kukuokoa masaa ya stress baadaye. š¤
Wewe Friday ya mwisho wa mwezi huwa unafanya nini kwa biashara yako? š
0
0
0