
💄Quick Question: Beauty Products from China ziko aje?
Kama hii ndio biz yako tushow:
Do they sell fast? Ni good quality? Customers wanazipenda?
Kama huwa unabuy for use as a customer: Ni affordable? Quality ni fiti? Ni safe? Zina deliver results unataka?
👇 Weka feedback yako comments, tujengane.


0
0
0