
QUICK TIP KWA BIZNA
KILA SOKO INAJUA MTEJA WAKE.
Kama unauza mitumba, cosmetics ama accessories, jua wateja wako ni kina nani. Wasee wa corporate wanataka nini? Vijana NA MA GEN z wanaprefer nini? Ukijua audience yako, unajua nini ustock na bei gani utumie kulingana na audience . Jicho sharp kwa biashara ni kila kitu! FOCUS na market yako
0
0
0