
Rada Meshers(comrades), word ya leo ni commitment. Usisahau ni nini unataka in life after chuo. Anza mapema kudirect life yako kwa hiyo dream uko nayo. Usiongojee uletewe kila kitu, jitume na ukuwe committed kwa hio course ama biz na hapo mbele utafurahi. #formnikujengana #gathubaze

0
0
0