
Rada ni kujituma. Start with what you have, coz you have something that God ame-kubless nayo. Look inward and ask: nini Niko nayo yenye Sir Jah ameni-gift yenye inaeza nisaidia ku-achieve my goal? Alafu start there. Usingoje perfect conditions Juu hazijaikuwa. Make the steps and effort.
0
0
0