
RAIN CHECK 🌧️ Location; Njukini Taveta Rained jana usiku, drizzling now. Plants looking healthy though some places zilikuwa zimeanza kukauka.
Chapa hood yako and kama kuna rain and mimea hizo sides ziko aje?
🌧️#SisiNiWakulimaMesh 🌧️ #AgriFarm

0
0
0