
Real talk, kaa wewe hua unatumia tools kama Lightroom, Canva, Procreate daily..lakini bado unajiona "bado pro." Bro/sis, hizo tools haziguzwi na amateurs. Wewe ni pro, period. Amateurs ni wenye tuko tiktok tunaedit na a simplified version ya capcut.
0
0
0