
received great advices from dfiferent meshers and advices zikanisaidia big time,so the mobile food delivery service is thriving very well but niko na shida tu moja kubwa ajab,storage facility ndio issue,foods kama smokie na samosas mainly za nyama ziko on high demand but at specific times so kuziweka fresh ni issue juu ya lack of frdige ,na sai kuget fridge si easy because bizz ndio niaanza,so just asking anyone out there kama anajua any tips ya kuweka meat products fresh for some reasonable time?
0
0
0