
REFILL PERFUME Biashara nzuri kuifanya pahali popote. Iwe town, mashinani au online. Capital ni 5k-35k. Brands ziko aina tofauti. Mfano: Lady million One million Polo sports Hugo Boss Fantansy na kadhalika. Unaweza import kutoka: Dubai Paris Switzerland France USA Lakini hawa ni wale wa kuuza wholesale. Kenya wako wengi watatwambia wako wapi na vile wanauza. Kuna display bottle na refill bottle kama sijasahau. Refill bottle kipimo chao kimeanzia : 3mls 4mls 6mls kwenda juu. Nasikia 1mls ni 13kshs ingawa sijui whether ni wholesale au retail. Wenye kuuza wanaweza twambia wakiweza.
PADS Hii ni biashara ingine yenye uwezi kosa kufanya. Biashara hii pia online unaeza ifanya vizuri sana. Faida (advantage) ni kwa wale wataifanyia town. Hapa you can do delivery. Pads hizi ziko tofauti. Mfano: Kotex Longrich (pkt 600-1000) kshs. Cherish. (220) kshs Shuya. (pkt 150-200) kshs.
HQ. Ziko aina mingi wafanyi kazi wanazijua na chenye utauza ni kulingana na location yako. Bath & Shower Products. Hii ndiyo biashara watu hawaongei sana. Sijui kama kuna mtu dunia hii yetu ya handshake anamaliza siku nzima bila showering. 90% hatuwezi. Hapa ndipo tunastahili ku stock many products. Kuanzia zile za toddlers, ladies na maghulamu. Okay. Pesa ni changamoto lakini wenye mko nayo sioni kwa nini mnaogopa. Wholesalers. Jilete tuwasikie na tuwajue. Ahsante.
