
Remotask explained ๐จโ๐ป๐ธ๐ธ
โจRemotask imekuwa household name hizi siku, wasee most Wanamake dooh na hizo accounts while the bigger population hawana idea what really works and what doesn't ๐
๐กShinda ukuwa connection ya vile utapata information legit kuhusu hizo account, ni info sensitive so msee lazima ulipie ama uoshwe in the process ๐๐
โจ But one thing for sure ni etii foreign account zinalipa poa kuliko Kenya profiles, that why most of you mmejaribu kucreate a Kenya profiles and things don't seem to work the way you want,
๐กkama ukona besty ama relative majuu anaeza ku_verifyia account, you can give it a shot, but pia Kuna an active market ya wasee wanauza hizo account pia so unaeza zi_buy tuu locally, but mascammers wamenjaa uko so kuwa rada kuoshwa ni Rahisi ๐๐
โจUkishaapata account Sasa unaitaji unjanja kiasi ya AI kufanya hizo tasks na software kiasi to make it look like human work, na proxy obviously juu uko Kenya na unatumia account ya majuu, and your all good to start your online career๐ฏ
๐กwell, it a risk venture so like any other investments, remember the first rule of investment " always invest something your willing to lose". Good luck meshers โฅ๏ธ check with your network friends see if they got a legit info that can help you get started๐ฏ
