
🤔 Remotasks👨💻
Juzi prezzo amejua vile wasee Wanamake dooh mob online na wengi hawalipi tax 💔😁
Kwa platform kama remo yenye Iko stable na ikona rating poa msee anaeza make kitu $100 in a day ukitumia software kama chatgpt na bard kuincrease efficiency yako💯
Kufanya biz online kama academic writing si kitu illegal, lakini unaitaji kucomply na current regulations ndio ujue vile utalipa tax kwa earnings unamake online, juu iyo ni obligation yako kama mkenya🇰🇪
kwa meshers mnafanya gigs online jua vile utapea KRA share Yao ndio usikuwe na maswara mingi kwa hustle yako, juu gov't Sasa itaanza kutake online jobs serious 💪💯


0
0
0