
REPOST Catchy, meaningful ama ni copy paste? Naming biz inaeza kuwa somewhat tricky affair. Juu like sasa hii ndio identity ya biz and ile design utafanya wasee watrace hustle yako. My biz name nilitoa from First And Last Name yangu letter "J" then nikaweka Link ile design J is linking you na IT & TECH services, hence J-Link ITtech. Na hii ndio name hadi clients wangu uniita sometimes.
So ni nini unahitaji during naming ya bis yako? Kwangu kuna factor kadhaa niliangalia. Kwa mfano, easy to read, inamatch na type ya biz yangu, ina'tie pia na story yangu, for instant letter ya generation 4 kwa familia, na pia iko short and simple.
Wewe ulicheck points gani time una name biz yako? Kama kawa Biz 101 ni group ya kujengana make sure ume join ili #Tujijenge
#Biz101 #ShujaazBiz #Tujijenge
