
Repost From @Mesh in regards of helping wake Meshers wamekuwa na challenge ya kusave @Abdi ndio hizi tips What are some of the #Tips za ku-save kama #Youth? 🤔🤔
Tengeneza #Budget. Kutengeneza na ku-stick to budget yako ni njia muhimu sana kama youth ku-save money. Hii haimanishi usi-have fun milele.
Usingoje ku-save na ku-invest. Ku-save na ku-invest inaezakaa challenge sahi, lakini ku-save pole pole kila siku, month ama mwaka inaezakuwa na impact kubwa sana kwa maisha yako na kwa biz.
Save one-third ya income yako. Hii hu-work sana by the way.
Anzisha #EmergencyFund. Hii fund hu-sort msee time ako kwa harship ama life imekupiga chenga. MESHers wengi husahau sana ku-save for hii purpose. Sometimes #Job huisha ama biz huenda down so ni important kukuwa na something to fall back on.
Lipa madeni zako zote. Usiache madeni zikuhande mzae.
Jifunze #SelfControl. Don't spend more than you earn.