
Repost:
There's a new Qejani block hapo hivyo Juja-JKUAT Gate B. Soon kutakuwa na over 1000+ students wanaishi hapo. Hostels zenyewe ziko fully furnished na Wi-fi, Gym, Canteens, facilities zote za kuhakikisha comrades wako comfortable.
Swali ni? What unique/ new business can I put up near there, yenye iko profitable na popular Kwa students?

0
0
0