
REPUTATION NA BIZ
Wengi wetu tuli join hii platform juu ya reputation fiti ama vigezo zenye zilitufanya ku trust and kuwa attracted kuwa Mesher. And ni reputation kama hizi tunaeza pia replicate kwa biz and kufanya client abambike na biz zetu vinoma. Je ni tips gani unaeza share ambazo zinaeza help ku create ama improve reputation ya biz yako?. Niko na few hapa and kama kawa juu hii ndio ile place ya #Tujijenge unaeza changia kadhaa tu grow pamoja.
-
Kuwa available kwa public; kuna vitu ndogo kama public baraza, chief kuita kamkutano hapa, kuchangia mwanajamii kwa noble course etc.. the more kama mwana-biashara una find time kwa vitu kama hizi unapata not just you as individual unagain reputation fiti but pia biz yako.
-
Kuwa consistent na ile image una project; biz yako nikaa brand yako, na kukuwa consistent inakuwa easy biz yako ku standout and kukuwa easy kwa clients kujua ni nini ama nani wana deal na yeye na pia vile wanaeza refer other clients through image yenye wewe ama biz ina project.
-
Ji commit sana kwa positives actions; Hii nayo ukuwa easy written, juu like kila biz u'claim wako committed ku satisfy, betterment ya jamii, ama goals big but kwa ground baana! mambo inakuwa ngori. So ku change hii paradigm ya thought. ni instead kuweka words in action lazima reputation fiti iambatane na wewe ama biz yako.
Hizi ni zile tips nimekuwa niki try juu gigs mingi kwangu utokea out of ile reputation nimekuwa nikitry ku project kwa clients ama mabest ndio pia wanaeza ni recomend kwa clients wengine ama gigs zengine. Na juu hii ndio ile platform ya kujengana, share more kwa comments ndio tujikuze wote kama wanamesh.
#Biz101 #SisiNiMESH #Tujijenge
