
RESOLUTION 22'
Another year another season ya ku chora zile Biz targets za ku achieve this year. Shukran' team mesh kwa video ziko n guidelines ya kuchora hizi targets/plans/resoultion. Nimezicheck hapo kwa units za shujaaz biz a while ago. One of the thing nimebeba kwa list yangu ni resolutions kuwa meanful and achievable.
Happy New Year Meshers. Looking forward to growing and creating new connections hii mwaka. #SisiNiMesh #Tujijenge
0
0
0