
Retail Business in Kenya
Meet Njeri, she has 3 years in Retail Business in Kenya and runs a Retail Shop🏪! At times unaweza kua na shughuli mob na itabidi u-employ mtu atakusaidia na #Biz yako. Leo Njeri anatujenga na key points unafaa ku-consider kabla kuajiri msee😀 Skiza form alafu tuchapiane kwa comments💯
Kama unadai ku-watch na ku-learn more about staff management, click hii link👇
https://www.mesh.life/app/b...
#MESHBizTalk

0
0
0