Rider wa boda bod anasema hakuna fuel so bei imepanda. Place huwa nalipa KES 60 sasa ni KES 100.
Area yako situation iko aje?