
Rona period imenufunza new ways za ku hustle. I had to like comeup na news ways za kujiweka a float. And one thing na look back to, ni ile relationship unaweka na clients and pia ma beste, juu like sasa hizi survival zilitokana na huo uhusiono. One of this in team yote ya Shujaaaz, week after week there was a kakitu a float kakunisaidia kusurvive hapa na pale. And wale trusted clients walikuwa wananikujia through saaana. I had to try new things hands on. Woodwork and painting I had to do it my self kusurvive hii time. Am even developing new passion during hii time.
0
0
0