
Rongo it was emotional but worth all the tears I shedðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜, The burial was well done and we sent a strong Queen whom was my Top Fan and always supporter, Aseee uhai muhimu sana... Mida nilikuwa nabeba sanduku yaani nilijifikiria sana nakuwaza kuhusu mengi, ebu tuishi maisha bora kama tungali hai yakuwasaidia watu nakufanya kama vile neno lisemavo.
Ven Rest in peace till we meet on the other side, to the family, friends and comrades of Eldoret University poleni sana... Mesh family as a whole we too lost a true soul of our own.
Na Mungu Awapewe sifa.
Mungu Anasaidia...
0
0
0