
Roy ako na hoteli pale Nairobi .Anapenda kazi yake na yeye hujitolea kufanya biz yake .Lakini Roy akona shida moja tu ambayo ni kufanya audience yake kwa social media ikuwe customers .Roy akona na whatsapp numbers mingi lakini hajui venye atafanya his status viewers wakue potential customers . Mimi nikachanua Roy aunde posters akuwe anazieka kwa social media ile kuattract more customers kwa hoteli yake . Roy anakubali na namfanyia design kali ya menu ya food na kupitia hio marafiki za Roy wanatambua biz yake na wanakua customers . Ukiwa kwa biz lazima ukue na visuals poa ile uttract customers .Kwa wale hawajui visuals ,visuals ni kama posters ,logos,cards ambazo unapost online kufanya advertising za biz yako.
Changamka kama Roy Alaaa ! Chukua Design !
#design #graphicdesign #posterdesign #logodesign #kiambu #nairobi #kenya
