💪Roy amebonga na Maina, Nail Technician na Beautician.
🤔Ni biz poa kufanya?
Watch video upate details zote alafu tushow kwa comments.
🤔Unataka tufanye review ya business gani next?