🔥 RUIRU, IJUMAA NI BIRYANI DAY! 🔥
Familia, naanza biashara yangu ya chakula kutoka jikoni kwangu ❤️ Nimepika biryani tamu yenye viungo safi na ladha ya nyumbani. Nataka mkuwe wateja wangu wa kwanza wa kunisupport 🙏
📅 IJUMAA HII 08/05
🍛 Biryani ya Kuku Moto – KES 500 tu
🚚 DELIVERY RUIRU – KES 150
📲 ORDER MAPEMA: WhatsApp/SMS/Call 0727434835
⚠️ Napika plates chache tu, so order mapema nikuhifadhie yako.
Asanteni kwa support yenu 🙏 Tunaanza kidogo kidogo.
📍Based Ruiru
#RuiruBiryani #IjumaaNiBiryani #SupportLocalHustle #RuiruFood
0
0
0