Saa hii kila mtu analia sales ziko low na eti uchumi ni mbaya , MESHers mnatumia ideas zipi kwa biz zenu to keep going