
Saa hii kula mtu anataka kuongeza earning zake na sales from biashara mtu anafanya ama pia watu wanataka kuanza new business..ukitaka kua mwanabiashara mzuri remember kazi ni kazi bora unapata faida unataka na pia goals unadai plus be a positive person and outgoing.
Cheki kwa hii link tips za kuanza biashara zinaweza zikakusaidia.
https://thebusinessblocks.c...
0
0
0