
saa hii ni holiday kwa most students kwa area yenye uko..
have you ever thought about starting a seasonal business hasa yenye itakupull thru na kakitu ata kama ni hii mwezi wako home...for example
1.ice pop na ice cream 2.bhajia 3.chipo 4.popcorn ama crips
and other business yenye market yake ni the youth??
whats your view on this keeping in mind that market bi seasonal. tuachapiane kwa comments section .
0
0
0